Msanii Mrisho Mpoto (MJOMBA)
akitoa burudani wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za
Makazi na Mwongozo wa Postikodi katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Mjini
Dodoma.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma
Bi. Christina Mdeme akiongea wakati wa wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa
Mfumo wa Anwani za Makazi na Mwogozo wa Postikodi katika ukumbi wa Pius Msekwa
Bungeni Mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Simbachawene akimueleza
jambo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa
wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi na Mwogozo
wa Postikodi katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Miundombinu
Prof. Norman Sigala akiongea wakati wa wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa
Mfumo wa Anwani za Makazi na Mwogozo wa Postikodi katika ukumbi wa Pius Msekwa
Bungeni Mjini Dodoma ambapo alisema uwepo wa anwani hizi utasaidia kuimarisha
usalama nchini.
Naibu Waziri Wizara ya Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula akiongea wakati wa wa hafla
ya uzinduzi wa Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi na Mwogozo wa Postikodi
katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Mjini Dodoma ambapo alisema uwepo wa
anwani hizi utasaidia utasaidia kupunguza migogoro ya ardhi nchini.
Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi,
Mawasiliano na Uchukuzi Mhandisi Edwin Ngonyani akiongea wakati wa wa hafla ya
uzinduzi wa Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi na Mwogozo wa Postikodi
katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Mjini Dodoma ambapo alisema kazi ya kuwa
na anwani za makazi ilianza zaidi ya miaka mitatu iliyopita na zoezi hilo
lilekamilika nchi nzima.
Balozi wa Anwani za Makazi Duniani Prof.
Anna Tibaijuka akimkabidhi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa anwani ya makazi wakati wa wa hafla ya uzinduzi
wa Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi na Mwogozo wa Postikodi katika ukumbi
wa Pius Msekwa Bungeni Mjini Dodoma.
Balozi wa Balozi wa Anwani za Makazi Duniani Prof.
Anna Tibaijuka akimkabidhi Mwenyekiti wa Kamati ya Miundombinu Prof. Norman
Sigala anwani ya makazi kwa niaba ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
Tanzania Dkt. Tulia Ackson wakati wa wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa Mfumo
wa Anwani za Makazi na Mwogozo wa Postikodi katika ukumbi wa Pius Msekwa
Bungeni Mjini Dodoma.
Balozi wa Balozi wa Anwani za Makazi Duniani Prof.
Anna Tibaijuka akimkabidhi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Simbachawene anwani ya makazi wakati
wa wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi na Mwogozo wa
Postikodi katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiongea wakati wa wa hafla ya
uzinduzi wa Mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi na Mwogozo wa Postikodi
katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Mjini Dodoma ambapo alieleza umuhimu wa
uwepo wa anwani za makazi na aliagiza halmashauri zote nchini kuanza kutumia
anwani za makazi.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizindua mwongozo wa Mfumo wa Anwani
za Makazi na Mwogozo wa Postikodi katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Mjini
Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na viongozi wengine wa Serikali
wakionesha vitabu vya mwongozo wa Mfumo wa Anwani za Makazi na Mwogozo wa Postikodi
katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Mjini Dodoma.
PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO
No comments:
Post a Comment