Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Taifa ya Vijana
wenye umri wa chini ya miaka 17 - Serengeti Boys, wakiwa Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Maya Maya mara baada ya kutua leo wakitokea Kigali nchini Rwanda
walikopiga kambi kabla ya kuwavaa vijana wenzao wa Congo, Jumapili ya Oktoba 2,
2016 kwenye dimba la Massamba Sebat, Brazzaville. Timu hiyo imefikia Hoteli ya Michael’s iliyopo
Barabara ya Nelson Mandela jijini hapa. Kikosi hicho kimetua salama salmin
kujindaa kuifumua Congo Jumapili. (Picha na Alfred Lucas wa TFF).
Kipa Na. 1 wa Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri
wa chini ya miaka 17 - Serengeti Boys, Ramadhani Kabwili akionyesha furaha ya
kuwa fiti mara baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maya Maya, tayari
kabisa kuwavaa vijana wenzao wa Congo, Jumapili ya Oktoba 2, 2016 kwenye dimba
la Massamba Sebat, Brazzaville. Timu
hiyo imefikia Hoteli ya Michael’s iliyopo Barabara ya Nelson Mandela jijini
hapa. Kikosi hicho kimetua salama salmin kujindaa kuifumua Congo Jumapili. (Picha
na Alfred Lucas wa TFF).
Kutoa kushoto, Kibwana Shomari, Yohana Mkomola na
Rashid Ada wa Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 -
Serengeti Boys, wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maya Maya mara baada ya
kutua leo wakitokea Kigali nchini Rwanda walikopiga kambi kabla ya kuwavaa
vijana wenzao wa Congo, Jumapili ya Oktoba 2, 2016 kwenye dimba la Massamba
Sebat, Brazzaville. Timu hiyo imefikia
Hoteli ya Michael’s iliyopo Barabara ya Nelson Mandela jijini hapa. Kikosi
hicho kimetua salama salmin kujindaa kuifumua Congo Jumapili.
Wakiingia Hotelini.
Wakishuka kwenye gari maalumu na kuingia hotelini.
Makocha wa Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa
chini ya miaka 17 - Serengeti Boys, Muharami Mohammed Sultan maarufu kama
Shilton (kushoto) anayewanoa makipa, Kocha Mkuu Bakari Nyundo Shime au Mchawi
Mweusi na Mshauri wa Maendeleo ya soka la Vijana, Kim Poulsen wakiwa katika
picha ya pamoja baada ya kuwasili Hoteli ya Michael’s iliyopo Barabara ya
Nelson Mandela jijini Brazzaville, Congo.
No comments:
Post a Comment