Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu (kushoto) akimkabidhi
tofali Afisa Miradi wa Kikundi cha vijana cha Tuinuane cha Bukoba Mjini
Christopher Vincent wakati wa makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali
iliyotolewa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) yenye ubora unaofaa kujengea
katika mazingira ya Bukoba kulingana na asili ya udongo na miamba ya mkoa wa
Kagera.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na huduma kwa jamii Shirika la
Nyumba la Taifa (NHC) Bi.Susan Omari (kulia) akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa
Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu (kushoto) wakati wa kukabidhi mashine
za kuengenezea matofali ya kisasa kwa vijana wa kikundi cha Tuinuane cha Bukoba
Mjini yanayoendana na hali ya udongo na miamba ya mkoa wa Kagera leo mjini
Bukoba.
No comments:
Post a Comment