Mtandao wa Kijamii wa Pamoja App wenye kukupa uwezo wa kukutana na watu wapya kulingana na mahitaji yako. Kwa mujibu wa wamiliki wa Pamoja App, wanabainisha kuwa, App hiyo ni ya kwanza hapa Nchini ikiwa ni ya lugha ya Kiswahili.
“Pamoja App, inawakutanisha watu ambao hawajuani kabisa. Ni nzuri kwani marafiki ukutana pamoja na kufahamiana katika mambo mbalimbali ikiwemo urafiki, Sasa kila mmoja anajiunga Pamoja App, ili kuondoa upweke.” Wanaeleza wamiliki wa Pamoja App wakati wa tukio hilo lililofanyika katika ukumbi wa High Spirit Jijini Dar e Salaam.
Katika tukio hilo ulikuwa ni usiku wa Bloggers na wadau wengine tukio lililofanyika ndani ya High spirit Posta jijini Dar e Salaam. Wadau na Bloggers walipata kushuhudia shoo fupi ya akina dada wa kuvutia wa kundi la Pamoja Angels sambamba na kutoa zawadi kwa waliofika usiku huo Pamoja”Tunakukutanisha na watu wa aina yako”
Usiku huo uliodhaminiwa na Fasta fasta na kinywaji cha Jack Daniels.
Tazama MO tv, kuona tukio hapa:









(Picha zote na Modewjiblog)
No comments:
Post a Comment