Kaimu Mkurugenzi Mtendaji waTaasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Dkt. Othman Kiloloma (kushoto) akionesha moja ya mguu wa bandia ambao umotolewa msaada na Taasisi ya Legs 4 Afrika ya nchini Uingereza kwa kushirikiana na Asasi ya Mohamed Punjani pamoja na Taasisi ya Watoto Kwanza ikiwa ni sehemu ya msaada wa miguu ya bandia takribani 600 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni sitini kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wenye mahitaji ya viungo hivyo mapema hii leo katika taasisi ya mifupa na mishipa ya fahamu, kulia ni Mkurugenzi wa Mradi wa Watoto Kwanza Bi. Janeth Kiwia.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mohamed
Punjani Foundation Bw. Gulam Punjani kulia akisisitiza jambo kwa waandishi wa
habari (hawapo pichani) wakati wa makabidhiano ya msaada wa miguu ya bandia
takribani 600 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni sitini kwa ajili ya
kuwasaidia wagonjwa wenye mahitaji ya viungo hivyo mapema hii leo katika
taasisi ya mifupa na mishipa ya fahamu, katikati ni Mkurugenzi wa Mradi wa Watoto Kwanza Bi.
Janeth Kiwia na kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Mtendaji waTaasisi ya Mifupa na
Mishipa ya Fahamu Dkt. Othman Kiloloma.
Mtaalam wa kutengeneza viungo vya miguu toka Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) Bw. Soud Ramadhan akionesha namna ya utengenezaji wa miguu bandia kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa makabidhiano ya msaada wa miguu ya bandia takribani 600 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni sitini kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wenye mahitaji ya viungo hivyo mapema hii leo katika taasisi ya mifupa na mishipa ya fahamu.
Mtaalam wa kutengeneza
viungo vya miguu toka Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) Bw. Geofrey
Mwakasungula akionesha namna ya utengenezaji wa miguu bandia kwa waandishi wa
habari (hawapo pichani) wakati wa makabidhiano ya msaada wa miguu ya bandia
takribani 600 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni sitini kwa ajili ya
kuwasaidia wagonjwa wenye mahitaji ya viungo hivyo mapema hii leo katika
taasisi ya mifupa na mishipa ya fahamu.
Kaimu Mkurugenzi wa
Mtendaji waTaasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Dkt. Othman Kiloloma (kulia) akionesha
waandishi wa habari (hawapo pichani) moja ya viungo bandia wakati wa
makabidhiano ya msaada wa miguu ya bandia takribani 600 yenye thamani ya zaidi
ya shilingi milioni sitini kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wenye mahitaji ya
viungo hivyo mapema hii leo katika taasisi ya mifupa na mishipa ya fahamu.
Mkurugenzi wa Mradi wa Watoto Kwanza Bi. Janeth Kiwia kulia akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa makabidhiano ya msaada wa miguu ya bandia takribani 600 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni sitini kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wenye mahitaji ya viungo hivyo mapema hii leo katika taasisi ya mifupa na mishipa ya fahamu, kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi hiyo Dkt. Othman Kiloloma.
No comments:
Post a Comment