Mkewe Kanye West, Kim Kardashian, ambaye picha zake za utupu ziliwekwa katika mtandao wa Twitter
Msanii wa muziki Kanye West ameweka msururu wa picha za utupu wa mkewe Kim Kardashian West katika mtandao wake wa Twitter.
Nyota huyo wa muziki wa rap aliwagawia picha hizo takriban watu millioni 11.7,wanaomfuata katika mtandao wa twitter pamoja na ulimwengu mzima.
Picha hizo zinamuonyesha mkewe Kim kardhashian akijiziba uchi wake na mikono.
Katika ujumbe wake msanii huyo aliyeimbia wimbo kwa jina ''Yeezus'' alijigamba kuhusu hatua zilizopigwa na mkewe katika Runinga ya Reality TV na kusema ana bahati kuwa naye.
CREDIT: BBCSWAHILI
No comments:
Post a Comment