Baadhi ya Abiria na wananchi wa kijiji cha Milundikwa wilayani Nkasi
mkoani Rukwa, wakiangalia basi la Ndenjela Express lenye namba za
usajili T 850 CRE kutoka Sumbawanga kwenda Mpanda mkoani Katavi ambalo
limepinduka jana nyakati za saa 11 jioni. Abiria kadhaa walijeruhiwa na
kukimbizwa hospitali ya Mkoa mjini Sumbawanga. Picha na Mussa Mwangoka.
No comments:
Post a Comment