Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday, 19 September 2014

RAIS DK. KIKWETE AWASILI WASHINGTON DC KWA MIKUTANO MBALIMBALI PAMOJA NA HAFLA YA USIKU WA JAKAYA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa La Guardia jijini Washington DC tayari kwa kushiriki katika mikutano mbalimbali na pia katika hafla ya “USIKU WA JAKAYA”  leo jioni.
 Rais Kikwete akilakiwa na maafisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Marekani baada ya kuwasili hoteli aliyofikia
 Karibu Washington DC Mheshimiwa
 Rais akiendelea kusalimia na na wafanyakazi wa ubalozini
 Mapokezi yakiendelea
 Rais Kikwete akisalimiana na Bw. Lucas Mkama wa Vijimambo Blog
Karibu sana Mzee…
CREDIT: FULLSHANGWE

No comments:

Post a Comment