Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday, 17 September 2014

KIWANDA CHA KUYEYUSHA MADINI YA SHABA CHA TPM KUWANIA TUZO YA RAIS YA HUDUMA ZA JAMII NA UWEZESHAJI

Mkuu wa  wilaya ya Mpanda, Paza Mwamlima akizungumza na timu ya majaji na sekretarieti iliyomtembelea ofisini kwake kabla ya kufanya ziara katika  kiwanda cha kuyeyusha madini ya  shaba cha TPM kilichopo katika  wilaya
ya Mpanda mkoani Katavi
Picha Na 2 (2)Mtaalamu katika kiwanda cha kuyeyusha madini ya  shaba cha TPM Mhandisi  Innocent Mushi  (kulia) akielezea jinsi mashine ya kuponda mawe yenye  dhahabu (pichani) inavyofanya kazi kwa majaji na sekretarieti iliyofanya ziara katika kiwanda hicho ili kufanya  tathmini ya kiwanda hicho katika utekelezaji wa miradi  ya jamii kwa kipindi cha mwaka 2013
Picha Na 3 (2)Mmoja wa wachimbaji wadogo, Abraham Meshack ( wa saba kutoka kulia)  akielezea jopo la majaji na sekretarieti mchango wa kiwanda cha kuyeyusha madini  ya shaba cha  TPM katika uwezeshaji wa kikundi chao katika ununuzi wa mashine ndogo kwa ajili ya kusaga na kuchenjua  mawe yenye  dhahabu
CREDIT: FULLSHANGWE

No comments:

Post a Comment