Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 2 September 2014

HATARI: WATU 31 WAFARIKI KWA EBOLA KONGO DRC

Watu 31 wamefariki kutokana na Ebola DRC
Shirika la afya duniani likishirikiana na wizara ya afya katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo imesema kuwa mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini humo umewaua watu 31.
Ugonjwa huo ulipatikana mapema mwezi uliopita katika nchi hiyo karibu na mji wa Boende takriban kilomita mia nane kazkazini mwa mji mkuu wa Kinshasa.
Maafisa wanasema kuwa eneo hilo limewekwa karantini na zaidi ya watu 50 wanapokea matibabu baada ya kuambukizwa maradhi hayo.

Takriban watu 200 wanachunguzwa. Wizara ya afya mjini Kinshasa imesisitiza kuwa mlipuko wa homa hiyo haihusishwa na mlipuko wa Ebola uliotikisa kanda ya Afrika Magharibi ambako zaidi ya watu 1500 wamefariki.
BBC/SWAHILI

No comments:

Post a Comment