


Basi la Kampuni ya Air Bus likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali.…Basi hilo lilipata ajali mbaya katika Kijiji cha Kiyegeya wilayani Gairo baada ya kuacha njia na kuporomoka bondeni.Taarifa zinasema, katika ajali hiyo iliyotokea jana mchana, takriban watu 48 walipoteza maisha na wengine kujeruhiwa vibaya.
MUNGU TUNUSURU NA AJALI HIZI.
No comments:
Post a Comment