Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday, 19 March 2015

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AHITIMISHA ZIARA YA JAPAN

3
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya kutengeneza vifaa vya mawasiliano ya simu, Kaono Yono baada ya kuzungumza na viongozi wa kampuni hiyo . Kampuni hiyo   nashirikiana na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL)  katika  suala la ufundi na vifaa, wakati alipotembelea Ofisi za Kampuni hiyo jijini Tokyo Machi 18, 2015. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya NEC Kaono Yono.
4
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akigana na Rais wa Shirika la Misaada la Kimataifa la Japan (JICA), B.  Akihiko Tanaka baada ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya New Otani jijini Tokyo Machi 18, 2015
5
Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akizungumza na Mbunge wa Bunge la Japan kutoka Chama Tawala cha Liberal Democratic Party, Koya Nishikama (katikati) kwenye Ofisi za Bunge la Japan jijini Tokyo Machi 18, 2015. Wengine pichani ni maofisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Japan.
1
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na ujumbe wake wakizungumza na  Viongozi wa kampuni ya Japan ya  kuengeneza vifaa vya mawasiliano ya simu ya NEC  ambayo inashirikiana na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL)  katika  suala la ufundi na vifaa, wakati alipotembelea Ofisi za Kampuni hiyo jijini Tokyo Machi 18, 2015. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya NEC Kaon Yono.
6
Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akiagana na Mbunge wa Bunge la Japan kutoka Chama Tawala cha Liberal Democratic Party, Koya Nishikama  baada ya mazungumzo yao kwenye Ofisi za Bunge la Japan jijini Tokyo Machi 18, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment