Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday, 18 March 2015

UPINZANI WAMPONGEZA NETANYAHU KWA USHINDI ISRAEL



 
  Kingozi wa Upinzani nchini Israel Yitzhak Hertzog amempongeza waziri mkuu Netanyahu kwa ushindi wa chama cha Likud 

Kiongozi wa upinznai nchini Israeli Yitzhak Hertzog amempongeza Benjamin Netanyahu kwa ushindi wake katika uchaguzi wa ubunge nchini humo na kumtakia kila la kheri.

Netanyahu anelekekea kushinda nafasi ya kuhudumu kwa mara ya tatu kama waziri mkuu wa Israeli na hatamu yake ya nne kwa jumla.
Chama chake cha Likud kimepata ushindi wa asilimia 24 ya kura zilizopigwa dhidi ya asilimia 19 ya chama cha mrengo wa kushoto - Zionist Union.
Sasa Netanyahu analenga kuunda serikali thabiti na imara ya mseto na vyama vidogo vya mrengo wa kulia.
Katika kampeni yake ya kuwania kuchaguliwa kwa awamu ya tatu alisisitiza kuhusu usalama wa kiatifa wa Israel.
Akizungumza na wafuasi wake, bwana Netanyahu amewashukuru kwa jitihada zao za kumuunga mkono.

CREDIT: BBCSWAHILI

No comments:

Post a Comment