Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday, 18 March 2015

MONACO HAWAKUSTAHILI KUSONGA MBELE

 
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger

Meneja wa klabu ya soka ya Arsenal, Mfaransa Arsene Wenger, anaamini timu ya Monaco haikustahili kusonga mbele kwenye hatua ya nane bora ya Ligi ya Mabigwa Ulaya.

Licha ya Arsenal kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Monaco walishindwa kufuzu kwa nane bora baada ya kupoteza mchezo wa kwanza kwa kuchapwa 3-1.
Kocha Wenger amesema haamini kama timu hiyo ilitakiwa kusonga mbele “ukiangalia idadi ya mashuti yaliyolenga goli utashangaa, kupoteza mchezo kunauma ila hatujapoteza."
Hii imekua ni mara ya tano mfululizo kwa washika bunduki hao wa London kushindwa kufuzu hatua ya nane bora.

CREDIT: BBCSWAHILI/MICHEZO

No comments:

Post a Comment