Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Mkuu wa wilaya ya Arumeru Mh. Mwilima Husna Mwilima mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Kisongo kwa ajili ya kukagua mradi wa ujenzi wa daraja wakati akiwa katika ziara ya kikazi mkoa wa Arusha akifuatilia na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010. (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-ARUMERU)
Ameongeza kwamba kiongozi akiharibu kazi atoke nje serikali hii ni ya chama cha mapinduzi hivyo wana CCM wanatakiwa kuwa wa kwanza kuisafisha msingoje mtu kutoka nje aisafishe , Ninaahidi tutachukua hatua zaidi kuisafisha serikali.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kumwaga zege kwa kutumia toroli wakati alipokagua ujenzi wa daraja la Kisongo wilayani Arumeru. 

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akirudisha toroli mara baada ya kumwaga zege katika ujenzi wa daraja hilo. 

Nape Nnauye akiongozana na wananchi wa kijiji cha Nduruma wilayani Arumeru wakati alipofika kijiji hapo kusikiliza kero za wananchi. 

Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi Mh. Goodluck Ole Medeye akizungumza jambo wakati Abdulrahman Kinana kushoto alipotembelea na kukagua ujenzi wa kituo cha afya cha Manyire kata ya Malangarini , wa kwanza kulia ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi na wa pili kutoka kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Ole Nangole. 

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kijiji cha Manyire kata ya Mlangarini na kumshukuru diwani wa kata hiyo Bw. Mathias Manga kulia kwa kujenga kituo hicho

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika ujenzi wa kituo hicho kwa kumwaga zege katika nguzo akisaidiana na diwani Mathias Manga. 

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Diwani Mathias Manga wakati alipokagua ujenzi wa kituo hicho.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Diwani Mathias Manga wakati alipokagua ujenzi wa kituo hicho.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa shule ya Sokoni II wakati alipokagua ujenzi wa shule hiyo,

Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi Mh. Goodluck Ole Medeye akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye shule ya msingi ya Ngaramtoni kata ya Olturumet.

Nape nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye shule ya msingi ya Ngaramtoni kata ya Olturumet.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye shule ya msingi ya Ngaramtoni kata ya Olturumet.

Nape Nnauye akizungumza na diwania wa kata ya Mlangarini Mathias Manga wakati wa katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye shule ya msingi ya Ngaramtoni kata ya Olturumet.

No comments:
Post a Comment