Fainali
ya kumsaka Bingwa wa Ligi Daraja la Pili (SDL) inatarajiwa kufanyika siku ya Jumapili katika Uwanja wa Karume jijini Dar es salaam siku ya jumatatu Machi 23
mwaka huu kuanzia saa 10 kamili jioni.
Mchezo
huo wa fainali utazikutanisha timu za Mbao FC ya Mwanza dhidi ya Kiluvya United
FC ya Pwani, ambapo mshindi wa mchezo ndio atakua Bingwa mpya wa Ligi Daraja la
Pili.
Jumla
ya timu nne tayari zimeshapanda Ligi Daraja la Kwanza (FDL) kutoka Ligi Daraja
la Pili (SDL) ambazo ni Kiluvya United ya Pwani, Mji Njombe ya Njombe, Mbao ya
Mwanza na Mji Mkuu (CDA) ya Dodoma.
No comments:
Post a Comment