Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday, 12 December 2015

MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA NMB ASHINDA TUZO YA BIASHARA 2015

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kulia) akipokea tuzo ya Mfanyabiashara Bora wa Kike wa Mwaka 2015 (Business Women of the Year 2015) kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Quality Group Limited, Arif Sheikh (kushoto) katika hafla ya Tuzo za viongozi (Tanzania LeaderShip Awards) iliyofanyika jana katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar Es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kulia) akitoa neno la shukrani mara baada ya kukabidhiwa tuzo ya Mfanyabiashara Bora wa Kike wa Mwaka 2015 (Business Women of the Year 2015) katika shindano la Tuzo za viongozi (Tanzania LeaderShip Awards) jana kwenye Hoteli ya Hyatt Regency Dar Es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Quality Group Limited, Arif Sheikh aliyemkabidhi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kulia) akipokea tuzo ya Mfanyabiashara Bora wa Kike wa Mwaka 2015 (Business Women of the Year 2015) kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Quality Group Limited, Arif Sheikh (kushoto) katika hafla ya Tuzo za viongozi (Tanzania LeaderShip Awards) iliyofanyika jana katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar Es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kushoto) akikabidhi tuzo mbalimbali kwa baadhi ya washindi katika nafasi anuai kwenye hafla ya Tuzo za viongozi (Tanzania LeaderShip Awards 2015) iliyofanyika jana katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar Es Salaam.

Burudani ya muziki kwa wageni waalikwa ikitolewa kwenye Tuzo za viongozi (Tanzania LeaderShip Awards 2015).
Baadhi ya wageni waalikwa katika Tuzo za viongozi (Tanzania LeaderShip Awards 2015) wakifuatilia matukio mbalimbali katika hafla hiyo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency Dar Es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Quality Group Limited, Arif Sheikh (kushoto) akimkabidhi mwakilishi wa Dk. Charles Kimei tuzo aliyoshinda katika shindano la Tuzo za viongozi (Tanzania LeaderShip Awards).
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Quality Group Limited, Arif Sheikh (kushoto) akikabidhi tuzo aliyoshinda Mohammed Dewji na kuitoa kwa mwanamama aliyeipokea kwenye hafla ya Tuzo za viongozi (Tanzania LeaderShip Awards 2015) iliyofanyika jana katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar Es Salaam.
Washindi wa tuzo binafsi katika Tuzo za viongozi (Tanzania LeaderShip Awards 2015) wakiwa katika picha ya pamoja.
Sehemu ya washindi wa Tuzo za viongozi kwa mwaka huu (Tanzania LeaderShip Awards 2015) wakiwa katika picha ya pamoja.
Baadhi ya washindi wa Tuzo za viongozi kwa mwaka huu (Tanzania LeaderShip Awards 2015) wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment