Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 24 March 2015

WAZIRI WA UCHUKUZI MHE. SAMUEL SITTA AWATAKA VIONGOZI WA SERIKALI KUISHAWISHI JAMII JUU YA UELEWA WA TAARIFA ZA HALI YA HEWA

Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta pamoja na Mkurugenzi Mkuu TMA Dkt. Kijazi wakijadili jambo wakati wa mkutano na wanahabariakiongea na wanahabari kwenye maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani tarehe 23 Machi 2015.
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Samuel Sitta (MB) akiongea na wanahabari kwenye maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 23 Machi, yenye kauli mbiu isemayo 'Uelewa wa hali ya hewa kwa maamuzi stahiki'. Pembeni ni Mkurugenzi Mkuu TMA, Dkt. Agnes Kijazi. (Picha Juu)

No comments:

Post a Comment