Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday, 22 March 2015

MTANDAO WA KUKUZA UASHERATI WASHTAKIWA

Mtandao wa Gleeden unaodaiwa kuhamasisha ngono na uasherati nchini Ufaransa
Mtandao wa kuwakutanisha wapendanao na unaowalenga watu walio katika ndoa nchini Ufaransa umeshtumiwa kwa kuvunja sheria.

Mahakama moja nchini Ufaransa sasa inatarajiwa kuamua iwapo mtandao huo unawafanya wanandoa kufanya udanganyifu.
Je, inakubalika kuwepo kwa mtandao unaokuza uashereti,ambapo uaminifu katika ndoa umewekwa katika sheria za taifa hilo?
Hilo ni swali linalokabili kampuni ya Gleeden ambayo inasifika kwamba ndio kampuni inayowapatia wanawake raha za ziada za nje ya ndoa.
Muungano wa familia za kikatoli ambao umekasirishwa na matangazo ya kampuni hayo umefungua kesi dhidi yake likitaka kujua uhalali wa mtandao huo.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment