Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 24 March 2015

DAVID CAMEROON: AWAMU MBILI ZINATOSHA!

David Cameroon, Waziri Mkuu wa Uingereza
Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameroon, hataendelea tena na wadhifa wake huo, iwapo atarudi madarakani katika uchaguzi mkuu wa mwezi Mei.

Cameron ameiambia BBC kuwa, anadhani awamu ya tatu inaweza kuwa ni kipindi kirefu kwake kukaa madarakani na kiongozi mpya ni vizuri kuchaguliwa.
Chama kikuu cha upinzani cha Leba kimemshutumu Bwana Cameron kwa kuonyesha uzembe na kushinikiza muhula wa tatu, kwa chama chake cha Conservative, hata kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu ujao.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment