Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday 13 March 2015

CHIKAWE AKABIDHI MIFUKO YA SARUJI 900 WILAYA YA NACHINGWEA KUJENGA MAABARA SHULE ZA SEKONDARI

Displaying PIX 1.JPG Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (wapili kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Pololet Mgema msaada wa  mifuko 900 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa Maabara za Shule za Sekondari wilayani humo. Tukio hilo la makabidhiano lilifanyika mjini Nachingwea leo. Picha zote na Felix Mwagara.

Displaying PIX 2.JPG Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (wapili kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Pololet Mgema msaada wa  mifuko 900 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa Maabara za Shule za Sekondari wilayani humo. Tukio hilo la makabidhiano lilifanyika mjini Nachingwea leo. Picha zote na Felix Mwagara.

No comments:

Post a Comment