Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 2 December 2014

INSTAGRAM YAMPONZA MARIO BALOTELLI

Mario Balotelli
Shirikisho la soka FA linachunguza ujumbe wa Instagram wa mshambuliaji wa Liverpool Mario Balotelli unaodaiwa kuwa ni wa kibaguzi.

Ballotel mwenye umri wa miaka 24 akijibu shutma dhidi yake kutokana na ujumbe wake mtandaoni aliandika tena ujumbe usemao “mama yangu ni Myahudi wote nyamazeni kimya”.
Msemaji wa Liverpool anayochezea Balotell amesema kuwa wanataarifa kuhusiana na ujumbe huo na kwamba watafanya mazungumzo na Balotell.
Shirikisho la soka FA limesema kuwa linataarifa kuhusiana na mchezaji huyo kuiweka taarifa hiyo katika Instagram na kisha kuifuta baadae.
Mkurugwenzi wa zamani wa shirikisho la soka Simon Johnson anasema Balotell anastahili kuchukuliwa adhabu kwa kitendo hicho.
CREDIT: BBC/MICHEZO

No comments:

Post a Comment