Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday 17 December 2014

MAMA WA AKINA MWAIBALE KUZIKWA LEO

Marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wake. 
Marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wake.
Sehemu ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika Mbagala Kuu, eneo la Bucha jijini Dar es Salaam nyumbani kwa mtoto wake mkubwa wa kike. Sehemu ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika Mbagala Kuu, eneo la Bucha jijini Dar es Salaam nyumbani kwa mtoto wake mkubwa wa kike.Kwaya ya Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam ikiimba kuomboleza msiba huo jana. Kwaya ya Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam ikiimba kuomboleza msiba huo jana.Baadhi ya wanakwaya wa Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam wakiimba kuomboleza kwa pamoja na waombolezaji katika msiba huo jana. Baadhi ya wanakwaya wa Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam wakiimba kuomboleza kwa pamoja na waombolezaji katika msiba huo jana.Baadhi ya wanakwaya wa Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam wakiimba kuomboleza kwa pamoja na waombolezaji katika msiba huo jana. Baadhi ya wanakwaya wa Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam wakiimba kuomboleza kwa pamoja na waombolezaji katika msiba huo jana.Kwaya ya Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam ikiimba kuomboleza msiba huo jana. Kwaya ya Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam ikiimba kuomboleza msiba huo jana.Sehemu ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika Mbagala Kuu, eneo la Bucha jijini Dar es Salaam nyumbani kwa mtoto wake mkubwa wa kike. Sehemu ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika Mbagala Kuu, eneo la Bucha jijini Dar es Salaam nyumbani kwa mtoto wake mkubwa wa kike.Sehemu ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika Mbagala Kuu, eneo la Bucha jijini Dar es Salaam nyumbani kwa mtoto wake mkubwa wa kike. Sehemu ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika Mbagala Kuu, eneo la Bucha jijini Dar es Salaam nyumbani kwa mtoto wake mkubwa wa kike.Kwaya ya Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam ikiimba kuomboleza msiba huo jana. Kwaya ya Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam ikiimba kuomboleza msiba huo jana.

Na Joachim Mushi 
MAMA mzazi wa waandishi wa habari Kulwa, Dotto na Nico Mwaibale aliyefariki juzi jijini Dar es Salaam katika Hospitali ya Hindu Mandal anatarajiwa kuzikwa leo Jumatano kijijini kwao Newland (Kibunde) Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya. 
Marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu ambaye ni mama mzazi wa wanahabari Kulwa Mwaibale mwandishi wa habari wa kampuni ya Global Publishers Limited, Dotto Mwaibale mwandishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo na mmiliki wa mtandao wa www.habarizajamii.com na Nico Mwaibale mwandishi wa habari wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) akiripotia mkoa wa Tabora alisafirishwa jana kwenda Mbeya kwa mazishi. 

No comments:

Post a Comment