Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...
Thursday, 19 January 2017
WIMBO MPYA WA ASILI WENYE VIONJO VYA KISASA KUTOKA KWA SEKO BWAY-NZUGWI
Pata fursa ya kusikiliza wimbo mpya wa asili ya kisukuma kutoka kwa mwanamuziki Seko Bway. Wimbo unaitwa Nzugwi na umeimbwa kwa vionjo vya muziki wa kisasa. Umetengenezwa na King Fenya kutoka Mbunda Records ya Jijini Mwanza. Bonyeza hapa kusikiliza
No comments:
Post a Comment