Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro akikagua ujenzi wa
kituo cha polisi kinachojengwa kwa nguvu za wananchi eneo la Uru Kimanganoni
kati. Kushoto ni askari mstaafu,mkazi eneo hilo Philipo mushi akimpokea Mutafungwa .
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii ,Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment