Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la ufunguzi wa barabara ya
Bariadi-Lamadi yenye kilometa 71.8 wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka, Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano Luhaga Mpina, Waziri wa
Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, Mwenyekiti wa CCM
Simiyu Titus Kamani na Mbunge wa Bariadi Andrew Chenge.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka pamoja
na Waziri wa Ujenzi Profesa Makame Mbarawa kuashiria ufunguzi wa barabara ya
Barabara ya Bariadi-Lamadi yenye kilometa 71.8.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wakazi wa Bariadi
mara baada ya kumaliza kufungua barabara ya Bariadi-Lamadi yenye urefu wa
kilometa 71.8.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Bariadi kabla
ya kufungua rasmi barabara ya Bariadi-Lamadi, katika mkoa wa Simiyu. PICHA NA
IKULU
No comments:
Post a Comment