Naibu Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisalimiana na
maafisa wa Jeshi la Polisi alipowasili Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Mbeya kwa
ziara ya kikazi ikiwa na lengo la kubaini mafanikio na changamoto za jeshi
hilo. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Naibu Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisikiliza maelezo
juu ya gari lililokamatwa likisafirisha wahamiaji haramu kutoka kwa Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la
Polisi Benjamini Kaizaga(aliyenyoosha mkono).Naibu Waziri yupo jijini Mbeya kwa
ziara ya kikazi.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Naibu Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(watatu kushoto),
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Benjamini
Kaizaga, juu ya gari lililokamatwa
likisafirisha madawa ya kulevya.Wengine mstari wa mbele ni Kaimu Kamanda wa Mkoa wa Mbeya Emmanuel
Lukula(wapili kulia) na Naibu Kamishna wa Uhamiaji,Asumsio Achachaa
.Naibu Waziri yupo jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi. (Picha na Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi)
Naibu Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(wapili kulia),
akifurahia jambo wakati alipotembelea makazi ya mbwa wanaotumika na Jeshi la
Polisi katika masuala ya ulinzi na usalama.Baada ya Naibu Waziri ni Kaimu
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya,Emmanuel Lukula. (Picha na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi)
Naibu Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akipanda mti katika
makazi ya mbwa wanaotumika katika masuala ya ulinzi na usalama na Jeshi la
Polisi.Naibu Waziri yupo jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi.(Picha na Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi)
IMEANDALIWA NA
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
No comments:
Post a Comment