Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Emanuel Nchimbi kuwa Balozi Nchini Brazili, Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. James Msekela kuwa Balozi Geneva –Umoja wa Mataifa, Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mbelwa Kairuki kuwa Balozi nchini
China, Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha George Madafa kuwa Balozi nchini
Italia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Elizabeth Kiondo kuwa
Balozi nchini Uturuki.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Fatma Rajab kuwa balozi nchini Qatar, Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Mabalozi wateule wakila kiapo cha
Uadilifu mara baada ya kuapishwa na Rais Dkt. John Magufuli Ikulu jijini Dar es
Salaam. Wakwanza kulia ni Balozi Emanuel Nchimbi, Balozi Dkt. James
Msekela , Balozi Mbelwa Kairuki, Balozi
George Madafa, Balozi Prof. Elizabeth Kiondo na Balozi Fatma Rajab.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan katika
picha ya pamoja na Mabalozi wateule mara baada ya kuwaapisha Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mabalozi mbalimbali
aliowaapisha Ikulu jijini Dar es Salaam.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment