Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira
(kushoto), akisalimiana na Mshauri wa Kitengo cha Utafiti wa Udongo kutoka Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam (BICO,UDSM), Dk. Dalmas Nyaoro, baada ya kuwasili eneo
la Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Askari Magereza ambao unakadiriwa kuhifadhi
watumishi zaidi ya 300 ukikamilika katika eneo la Ukonga, jijini Dar es Salaam.
(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira,
akisaini dafrari la wageni baada ya kuwasili kwenye Mradi wa Ujenzi wa Nyumba
za Makazi ya Askari Magereza unaoendelea
katika eneo la Ukonga, jijini Dar es Salaam. Mradi huo unakadiriwa kuhifadhi
watumishi zaidi ya 300 ukikamilika. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Mratibu
wa Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Askari wa Jeshi la Magereza kutoka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA),
Julius Chego (kulia), akimpa maelekezo Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira alipotembelea kukagua maendeleo ya mradi huo katika eneo la Ukonga,
jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza,
Dk. Juma Malewa. Mradi huo unakadiriwa kuhifadhi watumishi zaidi ya 300
ukikamilika. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira
(katikati), akimpa maelekezo Mratibu wa Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya
Askari wa Jeshi la Magereza, Julius
Chego (kulia) wakati alipotembelea kukagua
maendeleo ya mradi huo ambao unakadiriwa kuhifadhi watumishi zaidi ya
300 ukikamilika katika eneo la Ukonga, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dk. Juma Malewa. (Picha na Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi)
Kaimu
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dk. Juma Malewa, akifafanua jambo kwa Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira
(katikati), wakati Katibu Mkuu alipotembelea kukagua maendeleo ya Mradi wa
Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Askari wa Jeshi la Magereza, ambao unakadiriwa kuhifadhi
watumishi zaidi ya 300 ukikamilika katika eneo la Ukonga jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mratibu
Mkuu wa mradi huo kutoka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Julius Chego. (Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.)
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (aliyevaa
Kaunda suti), akiteta jambo na Kaimu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza,
Dk. Juma Malewa wakati alipotembelea
kukagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Askari wa Jeshi
la Magereza, ambao unakadiriwa kuhifadhi
watumishi zaidi ya 300 ukikamilika katika eneo la Ukonga, jijini Dar es Salaam.
(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
IMEANDALIWA
NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA
YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
No comments:
Post a Comment