Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli
akikata utepe kuashiria kufungua rasmi Kiwanda cha kutengeneza mifuko ya
Sandarusi cha Fresho Investment Compaany limited cha Mkoani Shinyanga. Wengine
katika picha ni mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Taleck wakwanza kulia mwenye kilemba ,
mbunge wa Shinyanga mjini Stephen Masele wakwanza kushoto, pamoja na mmiliki wa
kiwanda hicho Fred Shoo watano kutoka kulia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli
akivuta utepe kwenye jiwe la ufunguzi wa kiwanda hicho cha kutengeneza mifuko
ya Sandarusi cha Fresho Investment Compaany limited cha Mkoani Shinyanga. Kulia
ni mmiliki wa Kiwanda hicho Fred Shoo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli
akimsikiliza mmiliki wa wa kiwanda hicho cha Fresho, Fred Shoo kuhusu malighafi ya kutengenezea
mifuko ya Sandarusi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli
akiangalia moja ya hatua ya utengenezaaji wa mifuko ya Sandarusi katika kiwanda
hicho cha Fresho mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli
akiangalia moja ya hatua za mwisho katika utengenezaaji wa mifuko ya Sandarusi
katika kiwanda hicho cha Fresho mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli
akiangalia na kukagua utendaji kazi wa
maabara ya kiwanda hicho cha kutengeneza mifuko ya Sandarausi mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiwa
amechuchumaa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali pamoja na
wafanyakazi wa Kiwanda hicho cha Kutengeneza mifuko ya Sandarusi mkoani
Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli
akimpongeza Salum Hamis Mbuzi mmiliki wa Kiwanda cha kutengeneza Vinywaji cha
Jambo food product mara bada ya kukizindua mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli
akikata utepe kuashiria kufungua rasmi Kiwanda cha kutengeneza vinywaji cha
Jambo food product mara bada ya kukizindua mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akisikiliza
maelezo kutoka kwa mmiliki wa kiwanda cha kutengeneza vinywaji cha Jambo food
product Salum Hamis Mbuzi mara bada ya
kukizindua mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli
akiwagawia vinywaji viongozi mbalimbali wa dini mara baada ya kuzindua kiwanda
hicho mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli
akiwagawia vinywaji kikundi cha ngoma za asili cha mkoani Shinyanga mara baada
ya kuzindua kiwanda hicho cha Vinywaji mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiwasalimia
kwa kuwapungia mkono wakazi wa Igunga mkaoni Tabora. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment