Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipunga mkono kuwasalimia wananchi wa Shinyanga waliofika katika uwanja wa
mpira wa Kambarage katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za miaka 53 ya
Mapinduzi ya Zanzibar mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwahutubia wakazi wa Shinyanga katika kilele cha maadhimisho ya sherehe za
miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Kambarage
mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akielekea kuwahutubia wakazi wa Shinyanga katika kilele cha Maadhimisho ya
sherehe za miaka 53 ya mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa
Kambarage mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwapungia mkono Kwaya ya KKKT Shinyanga mara baada ya kuwasili katika uwanja
wa Kambarage mkoani Shinyanga. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment