Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo (kushoto) akizungumza na Washiriki wa Warsha
ya Majadiliano kuhusu Mpango Mkakati wa Utangamanisho wa Raia Wapya wa
Tanzania. Warsha hiyo iliyowashirikisha Makatibu Wakuu wa wizara mbalimbali,
Wakuu wa Vyombo vya Usalama, Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia
Wakimbizi (UNHCR) pamoja na wadau mbalimbali
ilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Protea Courtyard,
jijini Dar es Salaam leo. Kulia meza kuu ni Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi, Harrison
Mseke, anayefuata ni Suzan Chekani, Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Tamisemi, na
Joyce Mends-Cole, Mwakilishi wa UNHCR nchini. Picha zote na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo (kushoto) akizungumza na washiriki wa
Warsha ya Majadiliano kuhusu Mpango Mkakati wa Utangamanisho wa Raia Wapya wa
Tanzania. Warsha hiyo iliyowashirikisha Makatibu Wakuu wa wizara mbalimbali,
Wakuu wa Vyombo vya Usalama, Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia
Wakimbizi (UNHCR) pamoja na wadau mbalimbali
ilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Protea Courtyard,
jijini Dar es Salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mkurugenzi wa Idara ya
Wakimbizi, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Harrison Mseke akitoa maelezo
mafupi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, kufungua Warsha ya Majadiliano kuhusu Mpango
Mkakati wa Utangamanisho wa Raia Wapya wa Tanzania. Warsha hiyo
iliyowashirikisha Makatibu Wakuu wa wizara mbalimbali, Wakuu wa Vyombo vya
Usalama, Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR)
pamoja na wadau mbalimbali ilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya
Protea Courtyard, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi.
Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara
ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Suzan Chekani akizungumza
na washiriki (hawapo pichani) wa Warsha ya Majadiliano kuhusu Mpango Mkakati wa
Utangamanisho wa Raia Wapya wa Tanzania. Warsha hiyo iliyowashirikisha Makatibu
Wakuu wa wizara mbalimbali, Wakuu wa Vyombo vya Usalama, Mwakilishi wa Shirika
la Kimataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) pamoja na wadau mbalimbali
ilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Protea Courtyard, jijini Dar
es Salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mshauri Mwelekezi wa Mradi wa
Utangamanisho, Profesa Bonaventure Rutinwa akitoa elimu ya utangamanisho wa
mradi huo kwa Washiriki wa Warsha ya Majadiliano kuhusu Mpango Mkakati wa
Utangamanisho wa Raia Wapya. Warsha hiyo iliyowashirikisha Makatibu Wakuu wa
wizara mbalimbali, Wakuu wa Vyombo vya Usalama, Mwakilishi wa Shirika la
Kimataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) pamoja na wadau mbalimbali ilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa
Hoteli ya Protea Courtyard, jijini Dar es Salaam leo. Wapili kushoto ni Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo na Mkurugenzi wa
Idara ya Wakimbizi katika wizara hiyo, Harrison Mseke. Picha na Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi.
Sehemu ya Washiriki wa Warsha
ya Majadiliano kuhusu Mpango Mkakati wa Utangamanisho wa Raia Wapya wa Tanzania,
wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John
Mngodo (hayupo pichani) wakati alipokuwa anatoa hotuba ya ufunguzi wa Warsha
hiyo iliyowashirikisha Makatibu Wakuu wa wizara mbalimbali, Wakuu wa Vyombo vya
Usalama, Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR)
pamoja na wadau mbalimbali ilifanyika
katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Protea Courtyard, jijini Dar es Salaam
leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo (watatu kushoto waliokaa), Mwakilishi wa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Suzan
Chekani (wapili kushoto waliokaa), Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi, Harrison
Mseke (wapili kulia waliokaa), Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia
Wakimbizi (UNHCR), Joyce Mends-Cole (watatu kulia waliokaa) wakiwa katika picha
ya pamoja na washiriki wa Warsha ya Majadiliano kuhusu Mpango Mkakati wa
Utangamanisho wa Raia Wapya wa Tanzania. Warsha hiyo iliyowashirikisha Makatibu
Wakuu wa wizara mbalimbali, Wakuu wa Vyombo vya Usalama pamoja na wadau
mbalimbali ilifanyika katika Ukumbi wa
Mikutano wa Hoteli ya Protea Courtyard, jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment