![]() |
| Wajumbe wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi, wakiwa ukumbini hapo kabla ya kuapishwa. |
![]() |
| Wagombea waliopitishwa na Chadema kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Halmashauri na Makamu Mwenyekiti wakiwa katika ukumbi wa halmashauri hiyo. |
![]() |
| Baadhi ya wajumbe wa baraza hilo kabla ya kuapishwa. |
![]() |
| Wajumbe wa baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,wakiapishwa kuwa madiwani rasmi. |
![]() |
| Mwenyekiti mstaafu wa Halmashauri hiyo, Moris Makoyi akiwa katika kikao cha kwanza cha baraza hilo. |
![]() |
| Katibu tawala wilaya ya Moshi, Remida Ibrahim akiongoza zoezi la upigaji kura kwa ajili yakumpata Mwenyekiti na Makamu wake wa Halmashauri hiyo. |
![]() |
| Mbunge wa jimbo la Vunjo,James Mbatia akiteta jambo na Diwani wa kata ya Kahe ,Rodrick Mmanyi wakati wa kikao cha baraza hilo. |
![]() |
| Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Joseph Chata akiomba kura mbele ya wajumbe wa baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Moshi. |
![]() |
| Mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Sephen Charles akiomba kura mbele ya wajumbe wa baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Moshi. |
![]() |
| Mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti kupitia chama cha NCCR -Mageuzi Gibrata Riwa akijinadi mbele ya wajumbe wa baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Moshi akiomba kuchaguliwa kuogoza baraza hilo. |
![]() |
| Mbunge wa jimbo la Vunjo, James Mbatia akipiga kura wakazi wa zoezi hilo. |
![]() |
| Wajumbe wakishiriki zoezi la upigaji kura. |
![]() |
| Diwani wa kata ya Mabogini Emanuel Mzava akimpongeza Diwani wa kata ya Kindi, Michael Kilawila baada ya kutangazwa mshindi kwa kupigiwa kura 36 . |
![]() |
| Madiwani wakifurahia mara baada ya kuvaa joho rasmi kwa ajili ya uzinduzi wa baraza hilo. |
![]() |
| Mwenyekiti mpya wa baraza la Halmashauri ya wilaya ya Moshi, Michael Kilawila akiongozana na Makamu wake ,Exaud Mamuya wakati wakiingia katika ukumbi wa baraza hilo. |
![]() |
| Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi, Fulgence Mponji akitoa muongozo wakati wa uzinduzi rasmi wa baraza hilo. |
![]() |
| Mwenyekiti wa baraza la Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Michael Kilawila akitoa hotuba yake ya kwanza wakati wa uzinduzi rasmi wa baraza hilo. |
![]() |
| Mkuu wa wilaya ya Moshi, Novatus Makunga akizungumza wakati wa uzinduzi wa baraza la Halmashauri ya wilaya ya Moshi. |
![]() |
| Mwenyekiti wa Halamshauri ,Michael Kilawila na Makamu wake ,Exaud Mamuya wakifuatilia hotuba ya mkuu wa wilaya (hayupo pichani). |
![]() |
| Katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro ,Severine Kahitwa akitoa maelekezo mbalimbali ya uendeshaji wa baraza hilo kwa Madiwani na uongozi mpya wa baraza hilo. |
![]() |
| Mbunge wa jimbo la Vunjo,James Mbatia akifuatilia . |
![]() |
| Menyekiti wa Chadema wilaya ya Moshi vijijini Ekarist Kiwia pia alikuwa ni miongoni mwa mashuhuda wa mchakato wa kumpata Mwenyekiti wa Halmashauri. |
![]() |
| Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi ,Michael Kilawila. |
![]() |
| Makamu Mwenyekiti wa baraza la Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Exaud Mamuya. |
![]() |
| Ndugu wa madiwani wakifurahia nje ya ukumbi wa Hlamshauri ya wilaya ya Moshi mara baada ya Madiwani kuapishwa. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kakskazini (0755659929). |








































No comments:
Post a Comment