Mheshimiwa Edward Ngoyayi Lowassa
HIZI
NDIZO SIFA ZA LOWASSA BILA SHAKA KWENYE KWELI UWONGO HUJITENGA.!!
Sababu nzito Tano ambazo mimi
binafsi naziona zinafaa sana kumtathmini Edward Lowasa kama Rais ambae Tanzania
inamuhitaji kwa muongo mwingine ujao. Nikiri wazi kwamba kwa CCM ni Lowasa
pekee mwenye sifa hizo labda nitamlinganisha na Dr. Slaa ambae kwa muono wangu
kidogo anamkaribia Lowassa nikimaanisha kidoogo wanalandana na nitasema wapi
Lowassa anampiku Slaa.
Kwa utangulizi tu ni kuwa Nchi
hii ili iendelee inahitaji KIONGOZI kwa ufupi kabisa niseme hivyo inahitaki
KIONGOZI SHUPAVU tena SHUPAVU KWELIKWELI sio masihara. Waziri mkuu Mizengo
Pinda na Mbunge wa Monduli Erdward Lowassa. Tupo kwenye umaskini mkubwa, watu
wanateseka bila sababu ya msingi. Vijana tunashabikia tuu kama wehu, wengine ni
wasomi lakini tunapelekwa kama upepo tukisikia hiki "hewala"
tukisikia kile "sawa" tukiambiwa hivi "alhamdulilah"
tukiambiwa kile "poa tu". Hatutaki kuchambua na kuielewa siasa kwamba
kwenye siasa kuna majungu,fitna,kuchongeana,uchu wa madaraka na mali na mambo
meeeengi ambapo msipokua makini mnaweza KUMCHUKIA MZURI MKAMPENDA MBAYA. kwa
misingi hii ninaanza uchambuzi wangu. Na uchambuzi huu nitauandika kwa facts
and figures kama anavyosemaga Prof.Muhongo.
1.LOWASSA NA "BIG RESULTS
NOW".
Nianze na hili.Tunajua wote kuwa
serikali yetu sasa ipo kwenye mpango wa matokeo makubwa sasa BRN.Mpango huu
mbali na mambo mengine unahitaji kiranja mkuu (RAIS) ambae ni SHUPAVU, JASIRI,
MTHUBUTU, MWENYE KUWEKA MALENGO NA KUSIMAMIA KUONA YANATEKELEZEKA lakini pia
kama jina la mpango lenyewe lilivyo "MATOKEO MAKUBWA SASA" yaan we
want things to happen now. Kwa minajili hiyo ni kiongozi gani mnaeona anaeweza
kuleta matokeo makubwa sasa? Embu tuwe wakweli LOWASSA tunamjua alipoingia kuwa
waziri mkuu alitangaza kuwa ndani ya kipindi cha miaka mitano ambacho angekuwa
WAZIRI MKUU angetaka kata zote ziwe na shule za sekondari. Sote ni mashahidi
alivyosimamia sera hiyo shule zilianza kumea kama uyoga yaani kama
mazingaombwe.
Hata maeneo kama ya Kinondoni ambapo ardhi huuzwa kiholela hivyo ardhi kutopatikana lakini ilipatikana kuanzia vijijini hata mijini wananchi walianza kujenga shule. Ni mashahidi kama sio fitna za yeye kupelekea kujiuzulu sijui leo kielimu tungekuwa wapi. HE HAD A MASTER PLAN OF OUR EDUCATION SYSTEM AND HE LEFT WITH IT BUT STILL HE HAS IT IN HIS HEAD. Naamini huyu mzee akipata nafasi tutafika. Si hilo tu tunajua mambo mengi aliyokuwa nayo kichwani ambayo mengi yapo kwenye huu mpango ni shupavu ambae angeweza na anaweza kuyasimamia yatekelezeke. Dr.Slaa ni mzuri wa kusimamia mambo lakini sometimes huwa analoose focus nitaliongelea kwenye point ya tatu.

2. LOWASSA ANAJUA KUWEKA
VIPAUMBELE NA KUJUA TUNAVIFIKIAJE.
Jamani Nchi hii ili iendelee na
ndivyo hata nchi zilizoendelea zilivyoanza ni kuwekeza katika elimu ya watu
wake, Kilimo na Viwanda nikimaanisha sekta ya uzalishaji. Tunajua jinsi LOWASSA
alivyo anza na hayo shule za kata nilishazizungumzia na mipango mingi
ya elimu ukitaka kuijua waulize walimu alipoanzisha program ya kuwajengea nyumba,alivyoanzisha program ya kuhakikisha watoto hawakai chini kila mtoto akae kwenye dawati,alivyoshusha ada n.k Tusisahau kwenye kilimo aliyoanzissha kilimo cha umwagiliaji
mpaka akataka kuleta Mvua ya kutengenezawa mimi huwa nasema hata kama isingewezekana lakini inaonyesha ile nia njema aliyonayo mzee huyu.

Ukitaka kuelewa vizuri waulize
wakulima wakuhadithie jinsi alivyokua anawatimua kazi na kuwashtaki watu
waliokua wanakula hela za mbolea za ruzuku. Jinsi alivyokua anatafuta
masoko ya nje ya mazao ya kilimo waulize wafanyabiashara wakuhadithie.
masoko ya nje ya mazao ya kilimo waulize wafanyabiashara wakuhadithie.
Ni kiongozi nani mwenye hulka na kariba
hii ndani ya CCM? Tunajua wote kuwa mapinduzi ya kilimo na viwanda ndiyo yaliendeleza
bara la ulaya historia inatuambia hivyo na elimu ndiyo
imeikomboa JAPAN na nchi nyingine LOWASSA ni jembe katika hili ana master plan ya mambo haya na anajua kusimamia haya sio siri wala kumpigia debe HE IS REAL.
imeikomboa JAPAN na nchi nyingine LOWASSA ni jembe katika hili ana master plan ya mambo haya na anajua kusimamia haya sio siri wala kumpigia debe HE IS REAL.
3. LOWASSA SIO MTU WA KUPOTEZA
UELEKEO (TO LOOSE FOCUS)
Lowassa siku zote akitaka kitu ni
mpaka kitimie na kikishindikana basi ujue kumpata wa kukiweza ni shughuli pevu na
akitaka kitu hakati tamaa ili mradi kiwe ni chema hata kama hakina maslahi
kwake na ikitokea yeyote akasimama mbele yake kumzuia basi ama zake ama za huyo
mtu. Wazungu wanasema "You are either with me or against me".
Tunakumbuka jinzi alivyokua akitimua viongozi waliokuwa wakitaka kumkwamisha
kwenye utekelezaji wa shughuli za maendeleo. Hakujali urafiki wala nini
anakuweka ukimzingua anakumwaga THAT IS THE TYPE OF THE PRESIDENT WE WANT kwa
sifa hii hana tofauti na Dr. Slaa japo Slaa huwa wakati mwingine anapoteza
uelekeo.
Mfano mzuri wa kutopoteza uelekeo
ni kwamba mwaka 1995 alitaka kuwa Rais wakatoswa, 2005 akakubali swahiba wake
achukue lakini akabaki kuwa focused, fitna zikajengwa akajiuzulu 2007 lakini
hata sasa bado hajaloose focus japo anaface a lot of challenges.
Sio mfano mzuri sana huo kutoa
lakini inaonyesha ni mtu wa namna gani kuwa siku akitaka vijana tukimaliza vyuo
tupate kazi maana yake atalisimamia hilo by hooks or crooks
kama ni viwanda kufufuliwa vitafufuliwa idimradi tu vijana tulambe ajira THAT IS THE PRESIDENT WE WANT. A FOCUSED MAN
kama ni viwanda kufufuliwa vitafufuliwa idimradi tu vijana tulambe ajira THAT IS THE PRESIDENT WE WANT. A FOCUSED MAN
4. LOWASSA NI HALF DICTATOR HALF
DIPLOMATIC
Hahahahaha nianze kwa kucheka maana
tunajua hakuna nchi iliyoendelea kwa kiongozi kuwa full diplomatic yaani kitu
kidogo "Tume iundwe" jambo dogo "NJOO MEZANI TUONGEE" kitu
kidogo "TUSUBIRI UCHUNGUZI" jambo kidogo "DUNIA ITATUELEWAJE".
jamani tunamjua LOwassa ni mtu wa action kwa kwenda mbele Ghorofa limeanguka
nani mkandarasi piga chini. Halmashauri imekula hela za maendeleo nani mkurugenzi
piga chini.
Wizara inatokota nani muhusika
piga chini. Tunatatizo fulani solution ni nn tekeleza.yaani hakuna longolongo.Hii
ndio type ya uongozi itakayotukomboa Tanzania. Na ukitaka kujua faida yake
waulize wachina yaani watakwambia vizuri udictator kidogo unavyoharakisha maendeleo
yao. Hakuna TANZANIA hii viongozi wa type hii mbali na LOWASSA na Dr. SLAA
tatizo SLAA .... (nitamuonge lea wakati mwingine)
5. LOWASSA ANASIKILIZIKA, ANAFUATILIA, SI
KIGEUGEU NA SI MVIVU.
Hii ni sifa kubwa kwa mtu kuwa
RAIS unapoona unataka kuwa Rais au unamchagua mtu ambae kwa haiba yake tu
hasikiliziki ujue unaturudisha nyuma. Rais anatakiwa awe akisema hili lifanyike
huyo anaeambiwa linamuingia moyoni. Nirudie Rais anatakiwa anapoongea hata kwa
simu tu ile pitch ya sauti iashirie kuwa jambo hili ni lazima lifanyike.Yaani
kama anaongea mbele yako ukimwangalia kuanzia nywele mpaka unyayo uashirie kuwa
kiongozi anataka hili lifanyike. LOWASSA yupo hivyo akisema jambo linatekelezwa
na haiishi hapo anafatilia mwanzo mwisho si mvivu hata kidogo.kutwa anaizunguka
Tanzania hii vijijini hadi mijini nyote ni mashahidi wa hili.
SIMAMA SASA NA
UHESABIWE kuelekea safari ya matumaini na mafanikio 2015.!
CHANZO: WANABIDII
No comments:
Post a Comment