
Afisa Mauzo wa Benki ya Exim Paschal Mosha (wa kwanza kushoto) akiwaonyesha wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) vipeperushi vyenye maelezo ya huduma zitolewazo na benki hiyo, walipotembelea banda la benki hiyo wakati wa maonyesho ya Carrier Day yaliyofanyika chuoni hapo mwishoni mwa wiki. (Picha na mpiga picha wetu)

CHANZO,FULL SHANGWE
No comments:
Post a Comment