Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 12 November 2016

MDAHALO UINGEREZA KUHUSU ARDHI

TANGAZO   TANGAZO
Wana  Diaspora  wa  UK  manalikwa  kuhudhuaria  kongamano  litakalo  jadili  mstakabali  mzima wa  haki ya   Mwana  Diaspora  kikatiba  ikiwemo  haki ya  kumiliki  ardhi  Tanzania  iwapo  we  ni  mzawa.

Mdahalo  unatarajia  kutoa  elimu  na mapendekezo  juu  ya  swala  hili.Patakuwepo  na  wataalam mbali mbali  wa  maswala  haya.
Karibu University of   Coventry, School   of Engineering
TAREHE 3 Desemba 2016
Saa 4  asubuhi 
Uwepo  wenu  ni  mhimu. Umoja  ni  nguvu
Kwa tarifa zaidi walisiliana na simu +44 7960811614
Ahsanteni
WOTE  MNAKARIBISHWA


No comments:

Post a Comment