Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania
(TEMESA), Dkt. Mussa Mgwatu akieleza utendaji kazi kwa Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, alipotembelea Wakala huo,
jijini Dar es Salaam. (Picha na Benjamini Sawe-Maelezo)
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame
Mbarawa, akitoa maelekezo kwa Uongozi wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA),
alipokagua karakana ya Wakala huo, jijini Dar es Salaam. (Picha na Benjamini
Sawe-Maelezo)
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame
Mbarawa, akiteta na mmoja wa madereva wa Serikali katika karakana ya TEMESA,
alipokagua karakana ya Wakala huo, jijini Dar es Salaam. (Picha na Benjamini
Sawe-Maelezo)
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania
(TEMESA), Dkt. Mussa Mgwatu akisisitiza jambo wakati Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,
Profesa Makame Mbarawa, alipotembelea Wakala huo, jijini Dar es Salaam. (Picha
na Benjamini Sawe-Maelezo)
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame
Mbarawa, akisisitiza jambo wakati akiongea na wafanyakazi wa Wakala wa Ufundi
na Umeme Tanzania (TEMESA), Kanda ya Dar es Salaam na Pwani (hawapo pichani)
alipokutana nao jijini Dar es Salaam. (Picha na Benjamini Sawe-Maelezo)
Wafanyakazi wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), Kanda
ya Dar es Salaam na Pwani, wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (hayupo pichani) alipokutana nao jijini Dar
es Salaam kuwaeleza mikakati ya Serikali kwa Wakala huo.
(Picha na Benjamini Sawe-Maelezo)
No comments:
Post a Comment