Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Nzalayaimisi
(wa pili kushoto) akizungumza na wazazi waliozaa watoto njiti kabla ya Jeshi kuwapa
misaada mbalimbali kwa ajili ya kusaidia malezi ya watoto hao waliozaliwa katika
Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke, jijini Dar es Salaam. Jeshi la Zimamoto
lilianzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa kuitembelea hospitali hiyo ambapo
walitoa zawadi mbalimbali kwa watoto njiti, watoto wanaoumwa na watoto
waliozaliwa kwa njia ya operesheni. Wapili kulia(aliyebeba zawadi) ni Kamishna
Msaidizi wa Jeshi hilo, Maria Kulaya. Picha zote na Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji.
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Maria
Kulaya (kushoto) na Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Nzalayaimisi
wakimkabidhi msaada wa soksi na kofia mzazi aliyejifungua mtoto njiti, Fausta
Jison katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke, jijini Dar es Salaam. Jeshi la
Zimamoto lilianzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa kuitembelea hospitali
hiyo ambapo walitoa zawadi mbalimbali kwa watoto njiti, watoto wanaoumwa na
watoto waliozaliwa kwa njia ya operesheni. Kulia ni Mariam Juma ambaye naye
alijifungua mtoto wa aina hiyo katika hospitali hiyo. Picha na Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Maria
Kulaya (kushoto) na Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Nzalayaimisi
wakimkabidhi msaada wa soksi na kofia mzazi aliyejifungua mtoto njiti, Mariam
Juma katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke, jijini Dar es Salaam. Jeshi la
Zimamoto lilianzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa kuitembelea hospitali
hiyo ambapo walitoa zawadi mbalimbali kwa watoto njiti, watoto wanaoumwa na
watoto waliozaliwa kwa njia ya operesheni. Picha na Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji
Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Rosy Meena akitoa
zawadi ya soksi na kofia kwa mtoto aliyezaliwa na matatizo ya kiafya katika
Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke, jijini Dar es Salaam. Jeshi la Zimamoto
lilianzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa kuitembelea hospitali hiyo ambapo
walitoa zawadi mbalimbali kwa watoto njiti, watoto wanaoumwa na watoto
waliozaliwa kwa njia ya operesheni. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Nzalayaimisi
akitoa zawadi ya soksi na kofia kwa mtoto aliyezaliwa na matatizo ya kiafya katika
Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke, jijini Dar es Salaam. Jeshi la Zimamoto
lilianzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa kuitembelea hospitali hiyo ambapo
walitoa zawadi mbalimbali kwa watoto njiti, watoto wanaoumwa na watoto
waliozaliwa kwa njia ya operesheni. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke, Dk Aman
Malima, akiwapa elimu Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Maria
Kulaya (kulia) na Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo, Puyo Nzalayaimisi kuhusu
watoto njiti wanavyozaliwa, kabla ya Maafisa hao wa Jeshi pamoja na askari
mbalimbali waliofika hospitalini hapo kwenda kuwatembelea wodini watoto njiti,
watoto waliozaliwa na matatizo mbalimbali pamoja na watoto waliozaliwa salama
katika hopsitali hiyo. Jeshi hilo limeanzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa
kutoa misaada katika hospitali hiyo kwa wazazi waliojifungua watoto hao. Picha
na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Maria
Kulaya (watano kushoto mstari wa mbele), Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto
na Uokoaji, Puyo Nzalayaimisi (watatu kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na
maafisa na askari wa Jeshi hilo mara baada ya kumaliza kutoa misaada mbalimbali
kwa watoto njiti, watoto wanaoumwa na watoto waliozaliwa kwa njia ya operesheni
katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke, jijini Dar es Salaam. Jeshi la
Zimamoto lilianzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa kuitembelea hospitali
hiyo ambapo walitoa. Picha zote na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
****************************************************************************
No comments:
Post a Comment