Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 6 November 2016

FIESTA YAISIMAMISHA DAR

MSANII wa muziki wa bongo fleva, Bernard Paul ‘Ben Pol’ (katikati) akiimba katika tamasha hilo.


MSANII wa muziki wa bongo fleva, Chege (kushoto) akilishambulia jukwaa kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika juzi.

MSANII wa muziki kutoka nchini Nigeria, Yemi Alade , akiimba sambamba na mashabiki wake katika tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika juzi kwenye viwanja vya Leaders Dar es Salaam.

NYOTA wa muziki wa bongo fleva nchini, Ali Kiba akilishambulia jukwaa katika tamasha la Tigo Fiesta

MSANII wa muziki kutoka nchini Nigeria, Tekno, akiimba sambamba na mashabiki wake katika tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika juzi kwenye viwanja vya Leaders Dar es Salaam.

UMATI wa mashabiki wa burudani wakifuatilia tamasha hilo.


No comments:

Post a Comment