Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 13 September 2016

MABALOZI, WAFANYABIASHARA WACHANGA SHS. 1.7 BILIONI KUSAIDIA WAHANGA WA TETEMEKO LA ARDHI



TAKRIBAN Shs. 1.7 bilioni na Zaidi ya mifuko 2,800 ya saruji vimechangwa leo hii Ikulu jijini Dar es Salaam na wafanyabiashara pamoja na mabalozi wanaowakilisha mataifa mbalimbali nchini ili kusaidia wahanga wa tetemeko kubwa la ardhi lililotokea Kanda ya Ziwa (Mwanza na Kagera) na kusababisha vifo vya watu 17 na majeruhi 166 mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment