Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akizungumza na Watendaji
Wakuu wa Jeshi la Polisi nchini pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji wa kazi ndani ya Jeshi
hilo na Wizara kiujumla. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa
Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Wakwanza upande wa kulia ni Katibu Mkuu
wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira, na wakwanza upande wa kushoto
ni Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu. Picha zote na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira
(kulia) akizungumza jambo katika kikao kazi alichokitisha Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) kuzungumza na Watendaji Wakuu wa
Jeshi la Polisi nchini pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara yake, kuhusu masuala
mbalimbali ya utendaji wa kazi ndani ya Jeshi hilo na Wizara kiujumla. Kikao
hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es
Salaam leo. Wakwanza upande wa kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest
Mangu. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Simba Yahya, akizungumza
jambo katika kikao kazi alichokitisha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles
Kitwanga (katikati) kuzungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi nchini
pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara yake, kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji
wa kazi ndani ya Jeshi hilo na Wizara kiujumla. Kikao hicho kilifanyika katika
Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Kulia kwa Balozi
Simba ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira.Wakwanza
upande wa kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu. Picha na Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mkuu wa
Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) kuhusu masuala mbalimbali ya kikazi
ndani ya Jeshi lake katika Kikao kazi cha Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi
nchini pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kilichoitishwa
na Waziri Kitwanga na kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo,
jijini Dar es Salaam leo. Wakwanza upande wa kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara
hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira, akifuatiwa na Naibu wake, Balozi Simba
Yahya. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment