Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 19 September 2015

WANAPOOMBA KURA ZA KULA, WANASIASA NI WASANII... WAKO TAYARI KUFANYA CHOCHOTE!

 Mgombea urais wa Chadema kwa mwavuli wa Ukawa, Edward Lowassa, akiwa ndani ya daladala.

 Edward Lowassa akisalimiana na mama mwenye ulemavu wakati alipokuwa akitafuta wadhamini ili apitishwe na Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania urais.
Regina Lowasa ndani ya Solwa, Shinyanga.
JK akiongea na mlemavu wa mikono na miguu Bi. Sijali Chesko mara baada ya kuwasili Ifakara mkoani Morogoro kwa mkutano wa kampeni Ijumaa Oktoba 22, 2010.
Picha mbalimbali zikimuonyesha Rais Kikwete akiwasikiliza walemavu wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2010. 
Mama mlemavu Jocyceline Paulo akiteta na Dr. J.K katika kijiji cha Rusahunga.
Hapa napo... sijui. 
Katibu Mkuu wa CCM Kanali Abdulrahman Kinana akijenga. 
Hapa Kinana anakagua kivuko. 
Kinana amepanda bodaboda. 
Kinana, Profesa Anna Tibaijuka na makada wengine wakiwa wamepanda ngalawa. 
Mbowe akisalimiana na mlemavu Ukerewe.
Augustine Mrema akiwa amepanda guta na mkewe.
Mwigulu Nchemba na bodaboda.
Nape kwenye bodaboda.
Nyalandu na bodaboda.
Huyu ni Profesa Tibaijuka.
Ridhiwani Kikwete na mwalimu wake wa darasa la kwanza.
Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, mkoani Manyara, Anatory Choya, aliwapigia magoti wananchi wa Kijiji cha Hydom.
Huyu naye kaamua kuwapigi magoti watoto.

Sina maelezo zaidi, naamini picha zinajieleza zenyewe.
Ndugu yenu,
Mbega













No comments:

Post a Comment