Meneja wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe (katikati) akimfafanulia jambo Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi katika Kongamano la Wajasiriamali Wanawake nchini kabla ya uzinduzi wa Kampuni ya Voice of Women Entrepreneures Tanzania (VoWET) uliofanyika jijini Dar es Salaam leo (jana).wa kwanza kushoto ni Meneja Msaidizi wa Mfuko huo Bi Matilda Nyallu. (Picha na Benjamin Sawe).
Meneja wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe (katikati) akimfafanulia jambo Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi katika Kongamano la Wajasiriamali Wanawake nchini kabla ya uzinduzi wa Kampuni ya Voice of Women Entrepreneures Tanzania (VoWET) uliofanyika jijini Dar es Salaam leo (jana).(Picha na Benjamin Sawe)
Wafanyakazi wa Mfuko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF wakiwa katika Banda la Mfuko huo wakati katika Kongamano la Wajasiriamali Wanawake nchini kabla ya uzinduzi wa Kampuni ya Voice of Women Entrepreneures Tanzania (VoWET) uliofanyika jijini Dar es Salaam leo (jana), wa kwanza kulia ni Meneja wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe.(Picha na Benjamin Sawe)
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi akizindua Kampuni ya Voice of Women Entrepreneures Tanzania (VoWET) katika Kongamano la Wanawake Wajasiriamali nchini lililofanyika jijini Dar es Salaam, kushoto ni Rais wa VoWET nchini Bi. Mahida Waziri. (Picha na Benjamin Sawe)
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media,
Reginald Mengi akimlisha keki Rais wa VoWET nchini Bi. Mahida Waziri katika Kongamano
la Wanawake Wajasiriamali nchini mara baada ya uzinduzi wa Kampuni ya Voice of
Women Entrepreneures Tanzania. (Picha na
Benjamin Sawe)
No comments:
Post a Comment