Watoto wakimshangaa mtaalam huyo wa kutembelea baiskeli ya tairi moja.Masai Warriors wakionesha madoido kwa watoto.Msanii akionesha ujanja wa kukunja viungo.Watoto wakizidi kufurahia burudani.Mchezea baiskeli akiendelea na ujanja wake.Maonyesha yakiendelea.
WAUMINI wa dini ya Kiislam nchini kote jana waliungana na waumini wenzao duniani kote kusherehekea sikukuu ya Idd El Hajj.
Katika kusherehekea sikukuu hiyo, ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijiniDar es Salaam, kulikuwana tamasha lililotambulishwa kama ‘Amerudi Night’ ambapo kikundi cha Masai Warriors waliwapagawisha watoto kwa kuonesha michezo mbalimbali ikiwemo sarakasi, kuchezea baiskeli na michezo mbalimbali.
NA DENIS MTIMA/GPL
No comments:
Post a Comment