Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda akiikabidhi Timu ya Taifa ya Paralympic vifaa vya michezo kwa ajili ya kwenda nchini Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games).Kushoto anayepokea vifaa hivyo ni Kocha wa Timu hiyo Bw. Zaharan Mwenemti. (Picha na Benjamin Sawe- WHVUM).
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda akiongea na kikosi cha Timu ya Taifa ya Paralympic wakati akiwakabidhi vifaa vya michezo kwa ajili ya kwenda nchini Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games).Kushoto aliyesimama ni Kocha wa Timu hiyo Bw. Zaharan Mwenemti. (Picha na Benjamin Sawe- WHVUM)
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana
kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda akiongea
na mmoja wa wachezaji wa Timu ya Taifa ya Paralympic Bw. Ignas Madumla wakati
wa makabidhiano ya Vifaa vya michezo kwa ajili ya kwenda nchini Congo
Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games). Picha na Benjamin Sawe-WHVUM.
No comments:
Post a Comment