Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 3 September 2015

MAREKANI YAKABILIWA NA CHANGAMOTO YA VIWANDA BANDIA VYA DAWA


Dawa za binadamu ambapo huko Marekani kuna viwanda bandia
Mamlaka nchini Marekani zimefanikiwa kuwakamata zaidi ya watu 90 na wamegundua na kuzifunga maabara 16 zilizokuwa chini ya ardhi kwa lengo la kutengeza dawa za binadamu kinyume cha sheria.
Mkuu wa kitengo cha madawa amesema kuwa kilo na maelfu ya ujazo wa kemikali yaliharibiwa katika miji majimbo 20 kufuatia msako wa miezi mitano.
Maofisa uchunguzi wa Marekani wanasema kuwa malighafi za kutengenezea dawa hizo inaingizwa nchini humo kutoka China.
Hata hivyo msako umeweza kubainisha na kushambulia magenge ya watengenezaji hao wa dawa mbandia chini ya ardhi
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment