Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 8 September 2015

NGOMA AFRICA BAND AKA FFU-UGHAIBUNI WAFUNGA KAZI VECHELDE FESTIVAL,UJERUMAN

Baadhi ya waimbaji wa FFU. pembeni mkuu kamanda Ras Makunja, katikati Jessica Ouyah na Sarah Fina.

Gwaride la Ngoma Africa jukwaani nyara za taifa chini ya ulinzi wa makamanda.
Ngoma Africa band wakifunika Vechelde Festival-Ujerumani.
Kazi inaendelea jukwaani.
Kikosi Kazi Ngoma Africa Band kazini Vechelde festival-Ujermani.
Ngoma Africa Band aka FFU mzigoni.
Nyara za Taifa chini ya ulinzi

Kikosi Kazi Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni chenye maskani nchini ujerumani juzi siku ya Jumamosi ya 5 September 2015 kilifanikiwa kufunika katika
onyesho Vechelde Festival nchini Ujerumani.bendi hiyo maarufu barani ulaya kwa kuwadatisha washabiki wa muziki wa kiafrika kule ughaibuni imejijenga umaarufu katika kila kona na kuwekwa kileleni katika nafasi ya juu na washabiki wake wa
kimataifa.inaongozwa na kamanda Ras Makunja na kuwa na utajiri wa wanamuziki vijana wenye wingi wa vipaji .

No comments:

Post a Comment