Mchungaji Donald Kiwanga (kulia) akipokea hundi kutoka kwa Kamati ya Sherehe za kumuaga aliyekuwa Mkuu wa Jimbo la Kaskazini katika Dayosisi ya Iringa ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania. Mchungaji Kiwanga sasa anakuwa Mkuu wa Jimbo la Ihemi. Katikati ni mkewe, Bi Emery Kiwanga. Waumini wengi wanadaiwa kumwaga machozi kwa huzuni.
Mchungaji Kiwanga akiwa na mkewe katika sherehe za kumuaga katika Jimbo la Kaskazini la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Iringa.
Kwaya ya Usharika wa Mlandege ilitumbuiza katika sherehe hizo za kijimbo. Jumapili hii anatarajiwa kuagwa na Usharika wa Kihesa, ambako alikuwa akihudumu.






No comments:
Post a Comment