Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday, 6 December 2014

FANYENI KAZI SIYO KUSUBIRI CCM IWATEE MAENDELEO HUKU MMEKAA

Hassan Wakasuvi
Na Hastin Liumba, Nzega
WAKAZI wa Kata ya Mbogwe Wilaya ya Nzega mkoani Tabora wametakiwakufanya kazi ili wajiletee maendeleo na siyo kusubiri wakiwahawajishughulishi na kuendelea kuitusi CCM.


Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Tabora Hassan Wakasuvi alisema hayo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata hiyo.
Wakasuvi alisema kamwe wananchi wasifikiri maendeleo yatakuja wakiwawamekaa bila kujishughulishahuku wakiamini CCM itawaletea maendeleosiyo sahihi.
Alibainisha siku zote na eneo lolote lile dawa ya maendeleo ni kufanyakazi kwa bidii lakini wapo watu wanashindwa kujishughulisha halafuwanaanza kuitukana CCM kuwa haijafanya chochote huo ni uhuni wakufikiri.
Aidha alitumia fursa hiyo kuwakumbusha wakazi hao kutumia haki yaokikatiba ya kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura ili wasikosehaki yao ya msingi.
Awali kwa upande wake mwenyekiti wa CCM wilaya ya Nzega Amos Kanudaaliwaomba wakazi hao kutumia fursa zilizopo kujiletea maendeleo.
Alisema serikali itaendele kuboresha huduma za jamii kila muda ilikuondokana na adha na kero zinazowakabili wananchi kwani siku zotemaendeleo yanakuja na changamoto nyingi.
Kanuda alisema siku zote maeendeleo yanakuja taratibu hivyo wananchiwanapaswa kuwa wavumilifu wakati serikali inaendelea kupanga mipangoyake na aliwatahadharisha wawe macho na watu wenye tamaa ya uongozi.
Aidha alipongeza jitihada zote zinazofanywa na wakazi wa Kata hiyohususani kwenye kilimo cha mazao ya Chakula na Biashara na kuwaombawaendee na moyo huo.

No comments:

Post a Comment