Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias
Chikawe akifungua zoezi la uchangiaji wa harambee ya kupatikana kwa shilingi
milioni 100 kwa ajili ya ununuzi wa gari la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania (KKKT), Jimbo la Kaskazini-Magharibi linalojumlisha Wilaya ya
Nachingwea, Ruangwa na Liwale mkoani Lindi. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya
Nachingwea, Regina Chonjo, anayefuata ni Katibu Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Kusini
–Mashariki, Jane Mkimbo. Kulia ni Mkuu wa Jimbo hilo, Mchungaji Charles Mtweve.
Katika harambee hiyo Shilingi Milioni
22.3 zilipatikana. Picha zote na Felix
Mwagara
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias
Chikawe akifungua zoezi la uchangiaji wa harambee ya kupatikana kwa shilingi
milioni 100 kwa ajili ya ununuzi wa gari la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania (KKKT), Jimbo la Kaskazini-Magharibi linalojumlisha Wilaya ya
Nachingwea, Ruangwa na Liwale mkoani Lindi. Katika harambee hiyo Shilingi
Milioni 22.3 zilipatikana.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias
Chikawe akitoa mchango wake wa awali shilingi milioni moja kwa ajili ya uchangiaji
wa harambee ya kupatikana kwa shilingi milioni 100 kwa ajili ya ununuzi wa gari
la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Jimbo la
Kaskazini-Magharibi linalojumlisha Wilaya ya Nachingwea, Ruangwa na Liwale
mkoani Lindi. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Regina Chonjo,
anayefuata ni Katibu Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Kusini –Mashariki, Jane Mkimbo. Wapili
kulia ni Mkuu wa Jimbo hilo, Mchungaji Charles Mtweve. Katika harambee hiyo
Shilingi Milioni 22.3 zilipatikana.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias
Chikawe (watatu kushoto), Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Regina Chonjo (wanne
kushoto) wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania (KKKT), Jimbo la Kaskazini-Magharibi, Nachingwea na KKKT Dayosisi ya
Kusini-Mashariki, Kanisa Katoliki na maofisa wa wilaya hiyo, mara baada ya
kumaliza harambee ya kuchangisha milioni 100 kwa ajili ya ununuzi wa gari la
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Jimbo la Kaskazini-Magharibi
linalojumlisha Wilaya ya Nachingwea, Ruangwa na Liwale mkoani Lindi.
No comments:
Post a Comment